lemutuz_nation
Huyu ndiye my Miss Tanzania 2014 dhambi ya kumuonea sitaki inikute siku ya kuonana na Mungu akiniuliza NITASIMAMA NA KUSEMA UKWELI WANGU kwamba huyu mtoto alionewa.......kama ni MHINDI..asingeruhusiwa kushiriki toka VITONGOJINI....nasema tena Mh. Mbunge Mh. Mtevu ni Rafiki yangu nakuheshimu na sana na Uncle Lundenga ni rafiki yangu wa karibu sana na kamati nzima ya Miss
Ilala ni watu wangu...ila on this Miss Tanzania 2014 MMEMKOSEA MUNGU , MMETUKOSEA WANANCHI WA TANZANIA NA MMEMKOSEA MUNGU WENU HII DHAMBI ITAWATAFUNA MPAKA KABURINI MRUDIENI MUNGU WENU NOW....FANYENI HAKI MPENI HUYU MTOTO USHINDI WAKE...KAMA MNANIFUNGIA KUSHIRIKI KURATIBU MISS ILALA KWA SABABU YA MSIMAMO WANGU SO BE IT...UKISHAUA MTOTO WA MTU SIKU MOJA UTAUA MPAKA MTOTO WAKO......ENOUGH IS ENOUGH! MRUDIENI MUNGU WENU MPENI HUYU MTOTO USHINDI WAKE.......YOYOTE MWENYE TATIZO NA MANENO YANGU NAMBA YANGU YA SIMU NI 0717 618 997 ... .....NA JINA LANGU KAMILI NI WILLIAM JOHN MALECELA....NAMUOGOPA MUNGU SIITAKI HII DHAMBI IWEPO KICHWANI MWANGU......KUNA WASIOWEZA KUONGEA MUNGU ANASEMA WATU KAMA.MIMI TUWASEMEE NIMESEMA NA YES I SAID IT! - le Mutuz