Kigogo wa RITA aliyetoa cheti kwa mtoto wa mbunge Abbas Mtemvu ameanzwa kuchunguzwa kama kweli alifuata taratibu za utoaji wa cheti.
Vikao vilikuwa vikiendelea RITA manispaa ya Temeke kujua kama kweli cheti ni original au cha kupika, ingawa taarifa za ukweli ni kwamba cheti hicho ni original.
Inaonyesha Sitti Mtemvu anamiliki vyeti viwili
1. Kabla ya rita kuanzishwa . Ambacho alizaliwa 1989
2. Kipya kinachooonesha ana miaka 18.
Haki itendeke isiwe ugomvi wa wakurugenzi wa Rhino agency ; wanamtupia msala binti Mtemvu.
0 Comments