MATUKIO NA MICHAPO
Home
About
Contact
KALI YA MWAKA 2O14 KUHUSU MISS TANZANIA NA UTATA WA UMRI WAKE
by
Jason
Thursday, October 16, 2014
mushichristina
,
nishaysally
,
jescaqueen
and
69
others like this.
Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Miaka 2-A level
Mwaka 1-Masters
Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...
CHANZO NA SHAFII FB PAGE
1 Comments
Anonymous said…
ACHENI USHAMBA, SIO LAZIMA MTU APITIE MADARASA YOTE, INATEGEMEA AMESOMEA WAPI. KUNA NCHI NYINGI HAWANA MLOLONGO MREFU KAMA WETU. PIA INAWEZA AKAWA AMERUSHWA MADARASA KUTEGEMEA NA AKILI YAKE. MSIWE MNAKARIRI TU.
Facebook
Subscribe Us
Contact form
1 Comments