MATUKIO NA MICHAPO

  • Home
  • About
  • Contact

WASHINDI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013 WAENDELEA NA ZIARA YA MAFUNZO KATIKA VYOMBO VYA HABARI AFRIKA KUSINI

by Jason Thursday, September 11, 2014
1Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Wahariri nchini Afrika Kusini Mathatha Tsedu (mwenye kofia) akimsikiliza kwa makini Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete wakati wa ziara ya mafunzo kwa washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 nchini humo. Baadhi ya washindi hao ni pamoja na Vedasto Msungu kutoka ITV (kulia) na Gerald Kitabu (The Guardian Newspaper)

7Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Wahariri Afrika Kusini Mathatha Tsedu (wa tatu kulia) akiwa pamoja na Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013. Kutoka kushoto ni Gerald Kitabu (The Guardian), Vedasto Msungu (ITV), David Rwenyagira (Radio Five) na Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete.
3Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 . Kutoka kulia ni David Rwenyagira (Radio Five), Vedasto Msungu (ITV), Gerald Kitabu (The Guardian) na Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete wakiwa nje ya Ofisi za Makao Makuu ya Jukwaa la Wahariri Afrika Kusini.
4Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakifanya       mahojiano ndani ya Studio za Shirika la Utangazaji la Afrika ya Kusini (SABC- Channel Afrika). Kutoka kushoto ni David Rwenyagira (Radio Five), Gerald Kitabu (The Guardian), Vedasto Msungu (ITV) na Mtayarishaji Vipindi Isaack Khomo
5Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakiwa pamoja na Mhariri Mkuu wa Habari na Matukio wa Channel Afrika ya Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) Busi Chaane (wa tatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Channel Afrika ya SABC Mike Arareng (wa kwanza kulia) walipotembelea studio hizo kwa ziara ya mafunzo.
6Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013. Kutoka kulia ni Vedasto Msungu (ITV), Gerald Kitabu (The Guardian), David Rwenyagira (Radio Five) na Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete katika picha ya pamoja katika ofisi za Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) jijini Johannesburg.
Jason

Posted by Jason

You may like these posts

  • Newer

  • Older

0 Comments

Post a Comment

Facebook

Subscribe Us

Created By Blogger Templates | Distributed By Gooyaabi

Contact form