
Taarifa ambazo tumezipata kutoka mtwara jioni ya leo zinasema amani imerejea katika manispaaa ya mtwara na viunga vyake leo.Watu wameanza kurejea majumbani kwao kutoka mafichoni walipokuwa wamijificha kutokana msako mkali wa jeshi la polisi walioko mkoani mtwara,Mwandishi wa audifacejackson blog amesema milio ya risasi leo haikusikika katika mji wa mtwara na wananchi wamerejea mitaani kwa amani japo huduma za kijamii bado zinasuasua.

Mwandishi wetu akielezea zaidiamesema leo hapakuwa na jipya lolote zaidi ya polisi kufanya patrolo mji wote wa mtwara kuhakikisha amni inarejea na wananchi wanarudi katika shuguli zao za kila siku za kujiletea kipato chao
0 Comments