Diwani wa kata ya Mvinjeni Frank Nyalusi (chadema) akitolewa mahabusu ya mahakama ya wilaya ya Iringa leo na watuhumiwa wengine watatu kupelekwa mahakamani akihusishwa na vurugu za machinga na polisi jumapili iliyopita
Katibu mwenezi wa Chadema Iringa mjini Joseph Mgimwa (kushoto) akiwa na mtuhumiwa wenzake wa vurugu za machinga na polisi jumapili iliyopita Bw . Frank Nyalusi ambae ni diwani wa kata ya Mvinjeni kupitia Chadema na watuhumiwa wengine wawili wakifikishwa mahakamani leo Iringa na kufikisha idadi ya watu 78 ambao wamepandishwa kizimbani kwa vurugu hizo akiwemo mbunge Peter Msigwa
Polisi wakiwalinda watuhumiwa wa vurugu za machinga na polisi Iringa , watuhumiwa hao ni Joseph Mgimwa katibu mwenezi (chadema) Iringa mwenye suti nyeusi anayefuata aliyevalia sare za Chadema ni diwani wa kata ya Mvinjeni Bw Frank Nyalusi na watuhumiwa wengine William Mbunda na
0 Comments