WACHEZAJI WENYE WASHABIKI WENGI KWENYE MTANDAO WA TWITTER
NAME: Wayne Rooney
SPORTS RANKING: 6
WORLDWIDE RANKING: 97
TWITTER ADDRESS: @WayneRooney
FOLLOW AT URL LINK: http://twitter.com/WayneRooney
SPORT-TEAM-LEAGUE: Soccer-Manchester United-English Premier League
FOLLOWERS: 3,676,761
FOLLOWING: 83
TWEETS: 800
NAME: Carlos Puyol
SPORTS RANKING: 20
WORLDWIDE RANKING: 207
TWITTER ADDRESS: @Carlos5Puyol
FOLLOW AT TWITTER URL: http://twitter.com/Carles5puyol
SPORT-TEAM-LEAGUE: Soccer-Barcelona-La Liga
FOLLOWERS: 2,446,408
FOLLOWING: 84
TWEETS: 1,010

GARETH BALE: HARRY REDKNAPP NENDA KAIFUNDISHE ENGLAND
Gareth Bale leo amemwambia Boss wake Harry Redknapp: "Huwezi kuiacha hii kazi ya kuifundisha England."
Katika mahojiano yake na kituo kimoja cha habari, Winga huyo wa Spurs alisisitiza Redknapp itabidi aache kuifundisha Tottenham ikiwa FA itamuhitaji achukue majukumu ya timu ya taifa.
Bale alisema: "Wote tunataka abaki. Lakini Harry ni maneja mkubwa na kama England watamhitaji basi hiyo ni nafasi ya kipekee katika maisha ambayo hawezi kuikataa.
"Sitomlaumu akiamua kuondoka. Huwezi kujua kama hiyo nafasi itakuja tena miguuni mwako.
"Mwisho wa siku yatakuwa ni maamuzi yake na yeye pekee anajua kama anahitaji hiyo kazi au hapana."
Pia Welshman huyo anasisitiza Spurs haitomkosa au kummiss Redknapp - akitoa maelezo kuwa mbadala wake atakuwa ni kocha mwenye haiba na fikra zenye kufanana na Harry. Bale alisema: "Unahitaji meneja mkubwa ambaye anaweza kudili na presha na pia wachezaji wakubwa wa kimataifa.
"Harry ni kocha mzuri sana ambaye anaweza kuwa manage wachezaji wenye kariba kubwa na mategemeo makubwa kwenye klabu. Kama tutapata kocha namna yake nadiriki kusema hapatokuwa na tofauti."

HIGUAIN AFUATA NYAYO ZA RONALDO - AFIKISHA MAGOLI 101 AKIWA NA REAL MADRID
Gonzalo
Higuain amekuwa moja kati ya wachezaji wa Real Madrid ambao wamefikisha
magoli 100 katika klabu hivi karibuni, baada ya kufunga goli lake la
kwanza dhidi ya Osasuna jana Jumamosi.
Mshambuliaji huyu aliwasili Santiago Bernabeu in 2007 kutoka River Plate na tangu wakati huo ameshacheza mechi 210 katika mashindano yote. Pia yupo katika harakati ya kuwa na msimu wake bora kabisa katika in Spain, akiwa tayari ameshafunga jumla ya magoli 24, na goli lake la pili jana usiku lilimaanisha sasa ana magoli 101 tangu aanze kuitumikia Los Blancos.
Pia amekuwa mchezaji namba 18 kuweza kuifungia magoli 100 au zaidi Real Madrid, akiwafuatia Raul, Di Stefano, Fernando Hierro, Cristiano Ronaldo, Santillana, Hugo Sanchez, Ferenc Puskas, Emilio Butragueno, Pirri, Amancio Amaro, Francisco Gento, Pahino, Juanito, Michel, Luis Molowny, Ivan Zamorano na Ronaldo De Lima.

0 Comments