Rais Kikwete aifariji familia ya Marehemu Balozi Raphael Lukindo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha
maombolezo nyumbani kwa marehemu Balozi Raphael Lukindo huko Sinza jijini Dar
es Salaam aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jumanne tarehe 27 Machi na kuzikwa
Ijumaa tarehe 30 Machi katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dare s Salaam.Marehemu
Balozi Lukindo aliyestaafu Mwaka 1988 aliitumikia serikali katika balozi
mbalimbali nje ya nachi ikiwemo Japan,Urusi,Poland,Hungary na Czechoslovakia.Marehemu
ameacha mjane na watoto wanne.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bibi Tereza
Mvaa Lukindo,mke wa marehemu Balozi Raphael Lukindo wakati Rais Kikwete
alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza jijini Dar es Salaam kuwapa pole ndugu
na jamaa kutokana na kifo cha Balozi huyo aliyezikwa juzi Ijumaa katika
makaburi ya Kinondon
0 Comments