PINDA ALIPOONGOZA UPANDAJI MITI SINGIDA
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akipanda mti kwenye chanzo cha maji katika
kijiji cha Ilongero, Singida Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya
upandaji miti. Aliyesimama kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Vincent
Perseko Ole Kone.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua kisima kirefu cha maji baada ya
kuongoza upandaji miti katika kijiji cha Ilongero , Singida Aprili 1,
2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji iti Kushoto ni mkuu wa mkoa
huo, Vincent PersekoOle- Kone.
0 Comments