Kampeni Za CCM Usa River
Wazee wa Kijiji cha Lekitatu, Usa River wakifuatilia kwa makini mkutnao wa kampeni za CCM uliofanyika jana kwenye kijiji hicho
Mratibu
wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akisoma waraka kwenye mkutano wa
kampeni Usa River, waraka huo inadaiwa ni wa CHADEMA wakikiri
watashindwa uchaguzi wa Arumeru Mashariki
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde akihutubia mkutano wa kampeni za CCM jana Uwanja wa Ngarasero, Usa River
Mgombea
wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akisalimia maelfu ya
wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni uliofanyika jioni hii kwenye
Uwanja wa Ngarosero, kata ya Usa River jimboni humo. Kushoto ni
Mratibu wa kampeni za CCM, Katibu wa NEC Uchumi na Fedha, Mwigulu
Nchemba.
Mgombea
wa CCM, jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akipungia mikono
maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo. Mbele yake (kushoto) ni
Mbunge wa Mtera Joseph Lusinde
0 Comments