MKUTANO WA MWAKA WA BARAZA LA MAWAZIRI NA MKUTANO WA MAAFISA WAANDAMIZI WA ESAAMLG WAFUNGULIWA KIGALI- RWANDA

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(kulia), Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Juma Homera (Mb) (kushoto) na Naibu Gavana na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Rwanda, Bw. Nick Barigye, wakiwa katika picha wakati wa hafla ya ufunguzi wa mikutano ya Mwaka ya Umoja wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Kupambana na Utakasishaji Fedha Haramu na Ufadhili wa Ugaidi (ESAAMLG), iliyofanyika katika Hoteli ya Serena, Jijini Kigali nchini Rwanda.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(kulia), akiteta jambo na na Naibu Gavana na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Rwanda, Bw. Nick Barigye (katikati), wakati wa hafla ya ufunguzi wa mikutano ya Mwaka ya Umoja wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Kupambana na Utakasishaji Fedha Haramu na Ufadhili wa Ugaidi (ESAAMLG), iliyofanyika katika Hoteli ya Serena, Jijini Kigali nchini Rwanda. Kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Juma Homera (Mb).


Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(katikati), Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Juma Homera (Mb) (kushoto) na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bi. Sauda Msemo, wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa mikutano ya Mwaka ya Umoja wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Kupambana na Utakasishaji Fedha Haramu na Ufadhili wa Ugaidi (ESAAMLG), iliyofanyika katika Hoteli ya Serena, Jijini Kigali nchini Rwanda.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) na Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Juma Homera (Mb), wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wengine wa Fedha wanchi wanachama wa Umoja wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Kupambana na Utakasishaji Fedha Haramu na Ufadhili wa Ugaidi (ESAAMLG), mara baada ya hafla ya  ufunguzi wa mikutano ya Mwaka ya Umoja huo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena, Jijini Kigali nchini Rwanda. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Kigali, Rwanda)

Post a Comment

0 Comments