
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Maafisa Waandamizi mbalimbali wa Jeshi la Polisi a wakati alipowasili Chuo Cha Polisi (CCP) Moshi mkoani Kilimanjaro kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi leo tarehe 11 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipokea heshima ya Gwaride la Jeshi la Polisi wakati alipowasili Chuo Cha Polisi (CCP) Moshi mkoani Kilimanjaro kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi leo tarehe 11 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo maalumu kwaajili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wake katika kuimarisha amani, utulivu na usalama iliyotolewa wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika Chuo Cha Polisi (CCP) Moshi mkoani Kilimanjaro. Tarehe 11 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo maalumu ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika Chuo Cha Polisi (CCP) Moshi mkoani Kilimanjaro. Tarehe 11 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika Chuo Cha Polisi (CCP) Moshi mkoani Kilimanjaro. Tarehe 11 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura mara baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika Chuo Cha Polisi (CCP) Moshi mkoani Kilimanjaro. Tarehe 11 Agosti 2025.
0 Comments