
Baada ya kuthibitisha kuvunjika kwa mahusiano ya kimapenzi baina ya waimbaji wa Bongofleva, Jux na VanessaMdee wengi wamekuwa hawaamini kama ni kweli ambapo Vanessa Mdee ameendelea kuthibitisha wameachana na kusababisha mjadala kwenye mitandao.

Mjadala huo umekuja baada ya Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale kuposti picha ya Vanessa Mdeekwenye Instagram yake na kuandika:>>>“Don’t get twisted she said she’s single @vanessamdee'” jambo lililomfanya aliyekuwa mpenzi wa Vanessa, Juma Jux kukomenti akiandika; ‘mzee kama ulikuwa unasubiri hii kinoma’.
Baada ya Jux kukomenti hivyo Babu Tale naye alimjibu kwa kuandika..@juma_jux hahahah achakunionea J4 kasema kwa radio.

“
0 Comments