Mshambuliaji wa Manchester Utd, Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia bao timu yake.
Kocha wa Man Utd akiendelea kuangalia mechi ya Man City dhidi ya Everton.
Wachezaji wa Man City wakiendelea kushangilia baada ya kusawashisha bao dakika ya 82 kipindi cha pili.
Kiungo wa Everton Morgan Schneiderlin (kushoto) akizawadiwa kadi nyekundu la lefa.
Timu ya Manchester klabu ya Man city,imeshindwa kutamba katika uwanja wake wa nyumbani wa Etihad baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Everton.
Everton almaarufu kama The Toffes, ndio walianza kuzifumania nyavu za Man City, kwa goli lilifungwa na mshambuliaji Wayne Rooney, Rooney amefikisha idadi ya magoli 200 katika michezo ya ligi kuu nchini England.
Katika dakika ya 82 Man City, walisawazisha goli hilo kupitia kwa winga Raheem Sterling aliyefunga kwa shuti kali lililomshinda golikipa wa Everton, Jordan Pickford.
Man City (3-1-4-2): Ederson 5.5, Kompany 7, Stones 6 (Danilo 65, 7), Otamendi 6.5, Fernandinho 6, Walker 5.5, De Bruyne 6.5, Silva 6.5, Sane 5.5 (B Silva 69, 6.5), Aguero 6, Gabriel Jesus 5 (Sterling 46, 7).
Unused subs: Bravo, Mangala, Toure, Foden.
Bookings: Walker, Kompany
Sent off: Walker
Goals: Sterling 82
Everton (3-4-2-1): Pickford 7, Keane 6.5, Williams 6.5 (Klaassen Williams 61, 6), Jagielka 8, Holgate 6, Schneiderlin 5, Gueye 6, Baines 7, Calvert-Lewin 7, Davies 6 (Sigurdsson61, 6), Rooney 7 (Besic 90).
Unused subs: Mirallas, Martina, Stekelenburg, Lookman.
Bookings: Schneiderlin, Davies, Rooney
Sent off: Schneiderlin
Goals: Rooney 34
Referee: Robert Madley (West Yorkshire)
0 Comments