
Santos kujiuzulu kabla ya uchaguzi wa mwaka ujaoChama cha tatu kwa ukubwa cha Casa-CE, kinaongozwa na Abel Chivukuvuku, ambaye alikuwa afisa wa cheo cha juu wa Unita wakati kilikuwa ni kundi la waasi.Baada ya vita, Angola ilikuwa moja ya nchi zilizokuwa aa uchumi uliikua kwa haraka zaidi duniani kutona na utajiri wake mkubwa wa mafuta.
Lakini wakati bei ya mafuta ilishuka miaka miwili iliyopita iliadhiri uchumi wote.
Ikiwa asimia kubwa ya watu wako chini ya umri wa maiak 35, watu hao ndio na watakuwa na uamuzi mkubwa.
0 Comments