Katibu wa Imetosha Salome Gregory akifuatiwa na Balozi Mdimu na Issaya Mwakilasa(wakuvwang) wakiteremka toka ndegeni leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Toka kushoto Wakuvwanga, Zaytuni Biboze, Salome Gregory, Henry Mdimu na msanii wa muziki wa reggae Jhikoman Manyika wakiwa nje ya uwanja wa ndege jijini Mwanza mara baada ya kuwasili leo asubuhi
0 Comments