Ndugu bado wanafuatilia kujua ukweli kwamba labda polisi walisababisha mtafaruku huo na kupelekea watu kupoteza maisha siku hiyo.Tarehe 15/04/1989 idadi ya watu 96 walifariki dunia wakiwepo watoto,wanawake na wanaume waliokwenda kushuhudia nusu fainali ya kombe la FA kati ya Liverpool na Nottingham Forest katika mji wa Sheffield siku ya Jumatano ndani ya Uwanja wa Hillsborough.
Ndugu wa waliopatwa na tukio hili wakishirikiana na Liverpool bado wanaendelea kutafuta ukweli japo kuna tetesi zinasema kuwa polisi ndio waliosababisha mtafaruku huo na kupelekea watu kupoteza maisha.Liverpool kila mwaka katika tarehe hii hufanya kumbu kumbu ya kuwakumbuka mashabiki hao waliopoteza maisha.

0 Comments