Watuhumiwa wakiwa tayari wamepigwa pingu chini ya ulinzi
Watu wanne (4) wakiwa na silaha wanaosadikika kuwa ni majambazi wamekamatwa kwenye mataa ya Ohio na Ally Hassan Mwinyi road jijini Dar es Salaam Mchana huu. Taarifa zaidi zitawajia hapo baadaye.
Watuhumiwa wakiwa tayari wamepigwa pingu chini ya ulinzi
0 Comments