MWANAMUZIKI wa dansi, Christian Bella pamoja na wasanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba, Ommy Dimpoz, na wengineo usiku wa kuamkia jana walifanya makamuzi ya nguvu na kuwadatisha mashabiki waliofurika kwenye Ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam waliposhirikiana na mwanamuziki Alicios Theluji katika burudani la kukata na shoka.
0 Comments