Basi la kampuni ya Jordan lenye namba za usajili T650 AQZ, linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Moshi limepata ajali.Mpaka sasa mtu mmoja anadaiwa amepoteza maisha baada ya kulaliwa na basi hilo.


No comments:

Post a Comment