Watu wawili wamekufa katika Ajali nyingine iliyotokea muda mfupi uliopita huko mikumi kati ya basi T179CRG mali ya Fm safari linalotoka dsm kwenda mbeya na roli aaina ya Fuso. Tutaendelea kukujuza