Bus la Princes Muro likitokea Arusha kwenda Dar lilipinduka maeneonya Mbwewe baada ya tairi kuchomoka. Hakuna vifo vilivyoripotiwa kutokana na ajali hiyo mpaka sasa,