
Kadi nyekundu aliyopata Cristiano Ronaldo wikiendi iliyopita ni 9 tangu aanze kucheza soka la ushindani - akiwa anaitumikia Manchester United alipigwa red card mara 4 na sasa akiwa na Madrid amepigwa kadi nyekundu mara 5. Mpinzani wake Lionel Messi hajawahi kupewa kadi nyekundu tangu aanze kucheza soka la ushindani katika ngazi ya klabu.

0 Comments