Hapa anakumbatiana na Katibu Mkuu wa NCCR.
Baada ya kupiga picha hizi, maafisa wa ngazi za juu wa Polisi walikuja na kuniamuru nizifute haraka kwa sababu ATI nimezipiga ndani ya jengo la polisi.