Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Januari 28, 2015.
Spika wa Bunge, Anne Makinda akitoka Bungeni baada ya kulazimika kuahirisha kikao kabla ya muda wake.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Viti Maalum, Anna Abdallah (kulia) na Mary Mwanjelwa kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma.
Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (kulia) na Mbunge wa Mji Mkongwe Ibrahim Sanya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 28, 2015.(Picha zote na Ofisiya Waziri Mkuu)





0 Comments