Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa CCM na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa nyumbani alipozaliwa marehemu Issa Ahmed Othman Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii,aliyefariki nchini India alipoenda kwa matibabu,Katibu Mkuu alitoa salaam za pole kwa familia ya marehemu na ndugu zake kupokelewa na kaka wa marehemu Othman Ahmed Othman nyumbani kwao Shenge Juu,Pemba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa CCM na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa nyumbani alipozaliwa marehemu Issa Ahmed Othman,Shenge Juu Pemba.
0 Comments