
Mmoja kiongozi wa Serikali, mwingine wa mpira. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikuwa mgeni rasmi mechi ya viongozi wa dini. Baadae alishuhudia Taifa Stars ikiichabanga Benin kwenye mechi iliuomalizika kwa 4-1.
Mpaka mapumziko Stars walikuwa wakiongoza kwa 2-0. Stars walicheza kandanda ya kiwango cha dunia dhidi ya kikosi chenye wachezaji 12 wanaocheza kandanda ya kulipwa Ulaya
0 Comments