Msanii wa maigizo hapa nchini Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia leo na msiba upo Tabata.