Msanii wa Bongo Fleva, Mwana FA akifanya yake 
Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na burudani za Serengeti Fiesta Leaders Club. 
Mwana FA akilinogesha jukwaa la Fiesta.
Wasaniiwa Ya Moto Bandwakifana yao.
Rapper Nay wa Mitego akilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta.
Mkali kutoka Morogoro Stamina akitoa burudani.