Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu (kushoto) akiwa ameongozana na Mama yake mzazi.(Picha n Bongo5)
lemutuz_nation..2. Lundenga hajawahi kutangaza Mshindi wa Miss Tanzania na anayetakiwa ni Chief Jaji wa siku hiyo sasa ilikuwaje Lundenga kutangaza kwa mara ya kwanza? 3. Sitti mbona ameshindwa kujibu maswali ya umri wa passport na leseni yake kuwa sawa lakini cheti cha kuzaliwa alichopata mwezi uliopita haviko sawa?.....Ok guys enough mimi nitamtafuta Waziri wa Michezo kujua msimamo wa Serikali kama siridhiki NITATENGENEZA FOMU MAALUM AMBAYO ITAPITA KWA WANANCHI WOTE WASIOKUBALI MATOKEO KUSUDI MUWEKE SAINI ZENU MIMI NITAIPELEKA FOMU HIYO MAKAO MAKUU YA MISS WORLD......NASEMA TENA SITTI SIO MISS TANZANIA WANGU na kama Sio Miss Tanzania wako sema hapa.chini....UKIMJUA MWIZI UKANYAMAZA NA WEWE.NI MWIZI MIMI SIO MWIZI NA WALA.SINA SHIDA YA UBUNGE WA BABA YAKE SITTI! - le.Big Show
KUTOKA ISTRAGRAM YA MALECELA

1 Comments