Mtanzania Hasheem Thabeet ameachwa na Detroit Pistons kwenye usajili wa msimu ujao wa ligi ya NBA.