Msanii Juma katundu  akiwa na nyuso ya furaha baada ya  ya kufunga pingu za maisha na Amina Said Nguriche 'Queen emmy' ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita kimara mwisho nyumbani kwa bibi arusi bwana ni mwimbaji Wa bendi ya Msondo Ngoma na Bi Harusi ni Msanii Wa tasnia ya unenguaji nchini
 Msanii Juma katundu  akiwa na nyuso ya furaha baada ya  ya kufunga pingu za maisha na amina said nguriche 'Queen emmy' ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita kimara mwisho nyumbani kwa bibi arusi bwana ni mwimbaji Wa bendi ya Msondo Ngoma na Bi Harusi ni Msanii Wa tasnia ya unenguaji nchini
 MAHARUSI WAKIWA NA MPAMBE WAO
Amina Said Nguriche 'Queen emmy'