Hii ndio link ya kunipigia kura kwenye tunzo za MTV EMA http://base.mtvema.com/vote?category#cat=best-african
Ukishabonyeza tu shuka chini utaona picha yangu na chini ya Jina langu Wameandika neno VOTE, 
ukibonyeza tu hapo utakuwa umeniwezesha kutwaa tunzo hiyo na kuileta nyumbani..... zimebaki siku Mbili tu