Baada ya kuripotiwa kuugua ugonjwa wa EBOLA - hatimaye kiungo wa kimataifa wa Ghana Micheal Essien amejitokeza na kusema yeye ni mzima wa afya - hajaathirika na ugonjwa huo.