Mgonjwa wa kwanza kupatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Marekani amefariki.Hii ni kwa mujibu wa maafisa wa hospitali ya Texas alikolazwa.