Uzuri wa Tanzania unaonekana popote
Davido pamoja na team yake ndani ya Sea Cliff hotel wakielekea kwenye mkutano na waandishi wa habari.

Kwa karibu kabisa T I na MD Joseph Kusaga
Picha na eli ulomi wa Djfettytz.com
Hivi ndivyo ilivyokuwa ndani ya hoteli ya nyota 5 Sea Cliff Hotel iliopo karibu kabisa na ufukwe wa bahari ya hindi wasanii wote wakimataifa waliokuja kwajili ya serengeti Fiesta 2014 walipo fikia na kujivinjari.
0 Comments