Mwenyekiti wa google, Erick Schmidt amekiri kuwa mpinzani wao mkubwa ni mtandao wa Amazon.
Akiwa Berlin Ujerumani alisema kuwa watu wengi hudhani wapinzani wao wakubwa ni Bing na Yahoo wakati Amazon ndiye.Aliongeza kuwa watu wengi huitumia amazon kibiashara bila kuangalia upande mwingine wa shilingi wakutafuta vitu vingine kama wafanyavyo kwenye google.
Chanzo: BBCf
0 Comments