Sporah alimuuliza Diamond kama baba yake alimkataa kwenye umri mdogo alimrudiha pale aliposikia Diamond ametoka kimuziki na Diamond alifunguka hivi
"Yes alinirudia na mimi nikamwambiia siwezi kukuchukia baba lakini sitakuwa na mapenzi ambayo mtoto inabidi awenayo kwa baba yake,lakini yeye bado ni baba yangu,na ataendelea kuwa baba yangu,lakini ukija kwa mama yaangu ni mama yangu uwezi kumlinganisha na baba yangu,ni tofauti kabisa
Sporah aliendelea kumuukiza ni uhusiano gani hasa unaoendelea baina yeye na baba yake
"Ni wa kawaida.Natakaa na mama yangu siwezi kukaa mda mrefu bila kuwasiliana na mama yangu lakini naweza kukaa hata mwezi bila kuwasiliana na baba yangu,najaribu mara nyingine lakini siwezi sababu sijazoea
0 Comments