Brazil imeichapa Japan 4-0 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Singapore. Mabao yote manne yamefungwa na Neymar ambaye sasa amefikisha mabao 40 kwa timu yake ya taifa. Wafungaji bora wa Brazil ni:
Pele - 77 Ronaldo - 62 Romario - 55 Zico - 48 Neymar - 40 Bebeto - 39