Halima Mdee na wenzake wakitoka mahakamani baada ya kuachiwa huru kwa dhamana leo.

Wafuasi wa Chadema wakijiandaa kuwapokea wanachama wao baada ya kuachiwa huru.
Halima akiwa na wanachama wa Chadema baada ya kuachiwa huru