???????????????????????????????
Pichani ni baadhi ya wageni kundi la  KJIYA 7 KUTOKA HISPANIA wakiwa ndani ya geti la KINAPA wakijiandikisha kuanza kupanda Mlima kilimanjaro kama walivyokutwa na kamera ya matukio picha mkoani kilimanjaro(picha na Mahmoud Ahmad Kinapa)