Wachezaji wa NDANDA FC wakikatiza polini kukwepa mambo ya shiriki wakati wakiwahi mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar. mwisho wa siku waliishia kufungwa mabao 3-1