Polisi wa usalama barabarani akiliangalia kwa karibu moja ya gari lililoharibika vibaya katika ajali iliyotokea mchana huu katika eneo la Sadal njia ya Moshi - Arusha.Gari la kubebea wagonjwa 'Ambulance' kutoka KCMC likiwa limeharibiwa vibaya baada ya ajali hiyo.Raia wakishudia ajali hiyo.

(PICHA NA GPL)