MATUKIO NA MICHAPO
Home
About
Contact
AJALI NYINGINE SINGIDA,YADAIWA MTU MMOJA AMEPOTEZA UHAI.
by
Jason
Friday, September 12, 2014
Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma . Inadaiwa dereva wa lori hilo alikufa
0 Comments
Facebook
Subscribe Us
Contact form
0 Comments