Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama dawa mbali mbali zilizotengenezwa kwa kutumia Karafuu kabla ya kufungua mkutano wa Pan African Competetivenes Forum (PACF) kwenye hoteli ya Stella Maris mjini Bagamoyo August 13, 2014. Kulia ni Waziri wa Sayansi na Tekinolojia Profesa Makame Mbarawa. (Picha na Ofisi ya Wairi
Mkuu) 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (kushoto) na Waziri wa Sayansi na Tekinoloji, Profesa Makame Mbarawa baada ya kufungua Mkutano wa Mwaka wa Pan African Competetiveness Forum (PAC) mjini Bagamoyo August 13, 2014. Watatu Kulia ni Profesa Burton Mwamila. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Pan African Competetativeness Forum, baada ya kufungu mkutano wa kwenye hoteli ya Stella Maris Mjini Bagamoyo, August 13, 2014. Kulia ni Waziri wa Sayansi na Tekinolojia, Profesa Makame Mbarawa na Wapili kulia ni Mhandisi Mohammed Jibrin kutoka Nigeria na kushoto ni General Garbal kutoka Nigeria (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 



0 Comments