
WazirI Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa viwango wa kiwanda cha nondo cha Kamal Steel Limited cha Chang’ombe jijini Dar es salaam, Bwana Jijo kuhusu upimaji ubora wa nondo unaofanywa kitaalamu katika kiwanda hicho wakati alipozindua upanuzi wa kiwanda hicho August17, 21(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments