1
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal akiwa na ngao ya ushindi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ambao uliibuka kuwa mshindi wa kwanza katika sekta ya Mifuko wa Hifadhi ya Jamii, anayejiandaa kuipokea ni Meneja wa NHIF Mkoa wa Lindi, Fortunata Raymond. 
2Meneja wa NHIF Mkoa wa Lindi, Fortunata Raymond akionesha ngao ya ushindi baada ya kuipokea.
???????????
Ofisa Matekelezo wa NHIF Mkoa wa Lindi, Paul Marenga akitoa elimu ya umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii kwa wananchi waliofika katika banda la NHIF.
???????????Ofisa Matekelezo wa CHF, Nicolous Mwangomo akitoa darasa kwa wananchi waliozunguka banda la Usajili wa wanachama wa CHF.
5
Huduma za upimaji wa Afya bure zikiendelea ???????????
Meneja wa NHIF Mkoa wa Lindi, Fortunata Raymond akimpongeza na kumpa elimu kiongozi wa Waendesha Boda Boda Kata ya Kiwalala mkoni Lindi kikundi ambacho kilijiunga na CHF papo kwa papo7
8Kiongozi huyo akikabidhiwa makoti hayo kwa ajili ya wanakikundi wake.
???????????
Wananchi kwa wingi wakinufaika na huduma za upimaji afya bure kama wanavyoonekana ???????????Kikosi cha ushindi cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika picha ya pamoja.