Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akizungumza na baadhi viongozi na wajumbe kutoka Chama cha Wakulima Wadodowadogo wa zao la Pamba Tanzania(TACOGA) katika ukumbi wa mikutano wa Bunge wa Pius Msekwa leo wakati walipomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma kwa lengo la kuwasilisha Azimio la wito wa kuomba Bunge Maalum la Katiba kukamilisha jukumu la kuandaa rasimu yenye kuzingatia haki ardhi kwa mahitaji ya wakulima Tanzania.
Kaimu Mwenyekiti wa kutoka Chama cha Wakulima Wadodowadogo wa zao la Pamba Tanzania(TACOGA), Godfrey Mokiri(katikati) akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta(kulia) katika ukumbi wa mikutano wa Bunge wa Pius Msekwa leo wakati baadhi viongozi na wajumbe wa chama hicho walipomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma kwa lengo la kuwasilisha Azimio la wito wa kuomba Bunge Maalum la Katiba kukamilisha jukumu la kuandaa rasimu yenye kuzingatia haki ardhi kwa ardhi kwa mahitaji ya wakulima Tanzania.Kushoto ni Katibu wa chama hicho, George Mpanduji.
Baadhi viongozi na wajumbe wa Chama cha Wakulima Wadodowadogo wa zao la Pamba Tanzania(TACOGA) wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (wanne kushoto) na Katibu wa Bunge hilo, Yahaya Khamis Hamad (wa tatu kulia )walipomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma leo kwa lengo la kuwasilisha Azimio la wito wa kuomba Bunge Maalum la Katiba kukamilisha jukumu la kuandaa rasimu yenye kuzingatia haki ardhi kwa mahitaji ya wakulima Tanzania.
0 Comments