Luis Suarez akiingia katika uwanja wa Nou Camp kwa mara ya kwanza kama mchezaji wa Barcelona
Luis Suarez akimtazama Sergio Busquets na Lionel Messi (Kulia) uwanjani Camp Nou
Salamu zilihusika: Gerard Pique akiwapungua mkono mashabiki wa Barcelona waliofurika uwanjani
Mwanzo mpya: Luis Suarez akiwa amepanga mstari na wachezaji wenzake wa Barcelona kabla ya kuanza kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Leon
Maisha mpaya: Luis Enrique akiitambulisha timu yake kuelekea mchezo dhidi ya Leon kwenye dimba la Nou Camp
na Baraka

0 Comments