Maajabu:Kiungo wa Wolfsburg, Junior Malanda alikosa bao la wazi dhidi ya Bayern Munich jana usiku.
NYOTA wa Wolfsburg, Junior Malanda ameingia kwenye rekodi ya kukosa bao la wazi zaidi na kusababisha timu yake kufungwa.
Rahisi tu!: Malanda alikuwa kwenye karibu na mstari wa goli na kutakiwa kusawazisha kiulaini, lakini alikosa.
Alikosaje? Kiungo wa Wolfsburg alikosa bao akiwa yeye na kipa.
Majanga: Malanda haamini kilichotokea
Mikono kichwani: Malanda akijilaumu baada ya kukosa goli la wazi.

0 Comments